MAHAFALI YA WATOTO LAVENDER 2024
Mahafali ya watoto wa miaka mitano katika kituo cha kulelea watoto LAVENDER DAY CARE CENTRE, Yalifanyika mwaka 2024. Hafla hii ilikuwa ni maadhimisho ya mafanikio ya watoto katika safari yao ya kujifunza, ambapo walionyeshwa kupitia burudani, nyimbo na maandalizi ya kipeke.
Wazazi, familia na marafiki walikaribishwa kushiriki kusheherekea mafanikio ya watoto hawa na kuhenzi hatua muhimu katika ukuaji wao.